Searching...
Image and video hosting by TinyPic
23 May 2013
Thursday, May 23, 2013

AVB,SPURS wanastahili pongezi


kocha AVB baada ya kutimuliwa na chelsea alianza kuchafuka na kwa bahati mbaya,alienda kurithi kiti cha Rednapp ambaye ni kipenzi cha mashabiki wa spurs na England.

Ndani ya msimu wake wa kwanza ameweza kumaliza wa 5 juu ya DAVID MOYES na BRENDAN RODGERS sio kitu kidogo.Tom Henddlestone na Moussa Dembele nadhani kuwaunganisha vizuri kwenye dimba.

Kamfanya BALE awe na sumu sana uwanjani,kawa mwanasoka bora na chipukizi EPL.Hugo Lloris amekuwa moja ya makipa wazuri EPL na Mbelgiji Jan Vortenghen akigeuka kuwa beki bora wa kati.

Hata kama BALE ataondoka,spurs imara itaendelea kuwepo.Clint Dimpsey na Sigurdsson wataendelea kuwepo.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!