Kipa Valdes ndani ya Manchester United
Na Rossa Kabwine
Valdes kufanya mazoezi na Manchester united Kipa wa zamani wa Barcelona Vicotr Valdes anafanya mazoezi na Manchester united wakati akipata nafuu kutoka katika jeraha kubwa la goti.
Valdes mwenye miaka 32 alipata majereruhi mwzi Machi mwaka huu na kumfanya kukosa nafasi katika timu ya taifa ya spain kombe la dunia
Valdes alitangaza ataondoka Barcelona katika majira ya joto nakubaki mchezaji huru wakati akiendelea kuuguza majeraha yake. Na muda ulio baki kuuguza majeraha yake atafanya mazoezi na timu ya manchestar united kutokana na pendekezo lililo tolewa na meneja wa Manchester united Louis Van Gaal.
Manchester united wanasema “Valdes ata simamiwa na timu ya madaktari wa Manchester united wakati akiwa anaendelea kupata nafuu kabla yakuanza kufanya mazoezi na timu ya kwanza , akiwa anajitahidi kupona kabaisa”
United ambao wana Andres LIndegaard kama mbadala wa kipa namba moja David De Gea, awajasema kama wana kusudia kumpa valdes mkataba
0 comments:
Post a Comment