Sahau
kuhusu Dunga, huuyu anaitwa Rai Souza Vieira De Olivera ama waweza
kumuita Rai-Selecao,mpaka Brazil inapanda ndege kwenda kule Marekani
kwenye fainali za World Cup huyu ndiye alikuwa Captain wa Team, kwa
bahati mbaya kwenye fainali zile hakuwa kwenye kiwango kizuri hivyo
kulazimika kuanza katika mechi chache tu hali iliyopelekea Dunga
kuunyakua ule u-Captain.
Hili kwa kiasi fulani lilimuathiri Carlos Alberto Parreira kwani alliamini ni Rai pekee ndiy aliyekuwa akiheshimiwa ndani ya uwanja na wachezo wote akiwemo yule mkorofi Romario De Souza.
Rai alikuwa ni attacking midfield asiye na speed (slow fiber muscles) kuna wakati aliulizwa kwa nini huchezi kwa speed? alijibu hivi, " mimi sipaswi kukimbia kwa speed, mpira ndio unapaswa uende speed mimi nakaa kwenye njia pale wakati ambao nakuwa sina mpira na kuutuma ueleekee mahali sahihi wakati ninao".
Wengine waliobahatika kuingia kwenye kikosi baada ya wale waliotumainiwa kucheza chini ya kiwango ni Cafu ambaye alichukua nafasi ya Jorginho na Leonardo aliyechukua nafasi ya Branco (mtaalamu wa free kick)
Kosi lenyewe ni hili:- Taffarel, Jorginho, Aldair, Marcio Santos and Leonardo; Mauro Silva, Dunga (C), Mazinho and Zinho; Bebeto and Romรกrio.
Akiba: Zetti (G), Gilmar (G), Cafu, Ricardo Rocha, Ronaldรฃo, Branco, Raรญ, Paulo Sรฉrgio, Muller, Ronaldo and Viola.
Coach: Carlos Alberto Parreira.
Msaidizi: Mรกrio Jorge Zagallo

0 comments:
Post a Comment