captain denies Oliech avuliwa kitambaa
kocha mkuu wa harambee stars amemvua rasmi ukepteni DENIES OLIECH kutokana na kuchelewa kwake kambini lakini pia amedai sio kiongozi mzuri ndani na nje ya uwanja kwa wenzake.
Kocha huyo amesema VICTOR WANYAMA anadhani anafaa kupewa jukumu hilo la kuiongoza timu ya taifa ya kenya maarufu kama HARAMBEE STARS.
0 comments:
Post a Comment