Timu ya Taifa ya Tanzania 'TAIFA STARS'imeondoka Dar es Salaam kwenda Addis Ababa jumapili jioni ETHIOPIA.
Stars itaweka kambi katika mji mkuu wa Ethiopia kwa muda wa wik moja kabla ya kucheza mechi yake ya kirafiki na SUDAN tarehe 2 mwezi wa 6 ikiwa ni sehemu ya maandaliz.
Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wataungana na wenzao leo hii baada ya mechi hiyo ya kirafiki kithibitishwa na TFF.Katika safari hiyo kuna benchi la ufundi ambalo linaongozwa na kocha mkuu Kim Poulsen, msaidizi wake Sylvester Marsh,kocha wa makipa Juma Pondamali,Meneja wa timu Leopold Tasso, Daktari wa timu Mwanandi Mwankemwa, mtu wa mazoezi ya viungo Frank Mhonda na meneja wa vifaa Alfred Chimela.
KIKOSI KILICHOITWA
Goalkeepers: Juma Kaseja (Simba), Aishi Manula (Azam), Ally Mustafa (Yanga), Mwadini Ally (Azam)
Defenders: Aggrey Morris (Azam), Erasto Nyoni (Azam), Kelvin Yondani (Yanga), Nadir Haroub (Yanga), Shomari Kapombe (Simba), Vicent Barnabas (Mtibwa Sugar), Waziri Salum (Azam)
Midfielders: Amri Kiemba (Simba), Athuman Idd (Yanga), Frank Domayo (Yanga), Haruna Chanongo (Simba), Khamis Mcha (Azam), Mwinyi Kazimoto (Simba), Mudathiri Yahya (Azam), Salum Abubakar (Azam)
Forwards: John Bocco (Azam), Juma Luzio (Mtibwa Sugar), Mbwana Samata (TP Mazembe), Mrisho Ngasa (Simba), Simon Msuva (Yanga), Thomas Ulimwengu (TP Mazembe), Zahoro Pazi (JKT Ruvu)
0 comments:
Post a Comment