Mmiliki wa klabu ya Arsenal ambaye ni maarufu kwa ubahili Stan Kroenke
ametoa ruhusa kwa klabu hiyo kuongeza kiasi cha mishahara itolewayo na
klabu hiyo ili iweze kushindania vikombe kuanzia msimu ujao.
Arsenal
wamedhamiria kusajili angalau wachezaji mastaa watatu — kipa, kiungo
mkabaji na straika mkali — na meneja Arsene Wenger amepewa kiasi
kinachosadikiwa kua £70million kwa ajili ya usajili wa dirisha lijalo na
Kroenke, mwana hisa mwenye hisa nyingi klabuni hapo.
Lukas Podolski
na Theo Walcott ndio wanaopata zaidi klabuni hapo kwa mshahara
unaokaribia £100,000 kwa wiki ila kwa sasa klabu hiyo itaweza kutoa ofa
mpaka £150,000 kwa wiki kwa mchezaji sahihi.
Kwa uhakika hili
litasaidia kuvutia wachezaji wakubwa kuja Arsenal, kwa mtazamo wa
kiuana michezo unaiona Arsenal kama mshindani wa makombe kama
watamchukua mmoja wapo kati ya Higuain au Jovetic? kipa mzuri na kiungo
mkabaji wa hali ya juu? Maoni yako tafadhali
Mmiliki wa klabu ya Arsenal ambaye ni maarufu kwa ubahili Stan Kroenke ametoa ruhusa kwa klabu hiyo kuongeza kiasi cha mishahara itolewayo na klabu hiyo ili iweze kushindania vikombe kuanzia msimu ujao.
Arsenal wamedhamiria kusajili angalau wachezaji mastaa watatu — kipa, kiungo mkabaji na straika mkali — na meneja Arsene Wenger amepewa kiasi kinachosadikiwa kua £70million kwa ajili ya usajili wa dirisha lijalo na Kroenke, mwana hisa mwenye hisa nyingi klabuni hapo.
Lukas Podolski na Theo Walcott ndio wanaopata zaidi klabuni hapo kwa mshahara unaokaribia £100,000 kwa wiki ila kwa sasa klabu hiyo itaweza kutoa ofa mpaka £150,000 kwa wiki kwa mchezaji sahihi.
Kwa uhakika hili litasaidia kuvutia wachezaji wakubwa kuja Arsenal, kwa mtazamo wa kiuana michezo unaiona Arsenal kama mshindani wa makombe kama watamchukua mmoja wapo kati ya Higuain au Jovetic? kipa mzuri na kiungo mkabaji wa hali ya juu? Maoni yako tafadhali
0 comments:
Post a Comment