Goli
la dakika za nyongeza kutoka kwa Branislav Ivanovic limeisaidia Chelsea
kuwa klabu ya kwanza ya Uingereza, kushinda mataji yote matatu makubwa
ya UEFA, baada ya kuishinda Benfica kwa magoli 2-1 katika fainali za
Ligi ya Europa mjini Amsterdam usiku wa kuamkia leo.
Branislav Ivanovic akishangilia baada ya kuitandika bao Benfica.
0 comments:
Post a Comment