Searching...
Image and video hosting by TinyPic
6 June 2013
Thursday, June 06, 2013

Unajua Alichokifanya Frank Ribery leo?

KIJANA WA THE BAVARIANS

huyu ni winga wa timu ya taifa ya ufaransa na mabingwa wa ulaya bayern munich leo kaongeza mkataba wa miaka miwili ambao utamuweka na BAVARIANS hadi 2017.Winga huyu kazaliwa mwaka 1983

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!