Searching...
Image and video hosting by TinyPic
6 June 2013
Thursday, June 06, 2013

ANCELOTI SAFARI YA MADRID YAIVA.

kocha wa PSG ya ufaransa,mtaliano carlos ancelloti muda wowote anaweza kutangazwa kama kocha mkuu wa klabu ya real madrid kufuatia kutimka kwa kocha mreno JOSE MOURINHO.Kocha huyu wa kitaliano kazaliwa mwaka 1959 na kutwaa mataji mbalimbali ikiwa ni pamoja na UCL na SCUDETTO akiwa na AC MILLAN,FA,FA CUP AKIWA NA CHELSEA PAMOJA NA EPL.UBIGWA WA UFARANSA MSIMU HUU n.k.

Enzi za ujana wake pia alipata mafanikio kibao kwa kunyakuwa kombe la ligi scudetto na ucl akiwa na ac millan kama kiungo mshambuliaji.kwa namna utamaduni wa real madrid ulivyo,nadhani ni mtu sahihi wa kuwapa kombe la UCL kwa mara ya 10.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!