GHANA VS ZAMBIA WAVUTANA MASHATI
NIONAVYO MIMI KWENYE MAKUNDI YA KUFUZU
KOMBE LA DUNIA AFRIKA.
KUNDI A
1.Ethiopia pts 7
2.South Africa pts 5
3.Central Africa pts 3
4.Botswana pts 1
ukiangalia hapa unaweza kugundua kwamba Botswana wakacheze makhirikhiri yao tu,hakuna matumaini yakufuzu.Afrika kusini nao waangalie,itakula kwao ila bado wananafasi.
KUNDI B
1.Tunisia pts 9
2.Siera Leone pts 4
3.Equatorial Guinea pts 4
4.Cape verde pts 0
hapa nadhani Tunisia wametisha sana na kama watashinda mechi yao ijayo mambo yatakuwa bambam upande wao.wameshinda mechi zote 3 za awali.
KUNDI D
1.zambia pts 7
2.Ghana pts 6
3.Lesoto pts 2
4.Sudan pts 0
Leo Ghana wanashuka dimbani vs Sudan na nilazima washinde kama wanataka kumaliza wa kwanza.Naona wakaso na Gyan tayari watakuwepo kwenye timu inayoanza
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.