Searching...
Image and video hosting by TinyPic
18 July 2013
Thursday, July 18, 2013

NIONAVYO MIMI KWENYE HABARI ZA KITAALAMU.



1.Magoli na vifaa vingine vya mpira havitakiwi kuwa hatarishi.Mabomba ya magoli ya chuma kwa maana hiyo, hayaruhusiwi kutumika.wakati sheria ikiyakataa magoli ya chuma,sehemu nyingi Tanzania magoli ni ya miti!!!

2.kuweka wavu kwenye magoli sio lazima kwa mujibu wa sheria za mpira.Mnaweza kuweka wavu au msiweka na mpira ukachezwa tu.Wavu sio issue kwenye soka.

3.refa ndiyo mwenye jukumu la kuchagua mpira wa kutumika kwenye mechi kwa hiyo,kama mmekwenda kwa sangoma na kuuchawia mpira,itakula kwenu anauwezo wa kuchagua mpira mwingine.

4.mchezaji akitakiwa kufanyiwa mabadiliko uwanjani na ikatokea amegoma kutoka,refa anatakiwa aendelea na mchezo.Swala la kumchezaji kugoma kubadilishwa sio kazi yake.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!