Leo nimepata fursa ya kutembelea mitaa mbali mbali ya jiji la MBEYA na
kikubwa nilichokiona ni bendera kibao za simba na yanga zikipepea mitaa
mbalimbali ya jiji hili.Ukipita madukani ndo balaa,kadi,jezi za simba na
yanga ndo habari ya mujini.
Nilimejiuliza maswali mengi ambayo
sikupata majibu,kwa nini hawapeperushi Bendera za MBEYA CITY ambayo
msimu ujao itashiriki liki kuu Tanzania? kwa nini hawauzi jezi za timu
ya Prison iliyoshiriki ligi kuu msimu huu uliomalizika?
Hatuwezi kupiga hatua kama kila siku,mawazo na akili zetu zitaendelea
kutawaliwa na timu za SIMBA vs YANGA tu.Nikweli timu hizi lazima ziwe na
mashabiki wengi nchini kutokana na mafanikio na historia ya soka nchini
lakini,ninachokiona ni hapa kuna uwezekanao mkubwa wa ASTON VILLA ya
uingereza kupata mashabiki wengi TANZANIA kuliko MBEYA CITY kuwa na
mashabiki wao ambao hawako upande wa simba wala yanga.
Kwanamna
ninavyoona MBEYA CITY watapata mashabiki wengi wa mkopo toka yanga siku
watakapocheza na simba na kinyume chake.Nadhani hii tabia inatakiwa pia
ife ili mambo mengine yaendelee.simba na yanga zenyewe presha tupu
hamna chochote cha maana.
ngoja nichukue zangu jaketi,maana baridi la huku ni balaa ingawa nawaona jamaa hapa nje wamevaa kata mikono.
Leo nimepata fursa ya kutembelea mitaa mbali mbali ya jiji la MBEYA na kikubwa nilichokiona ni bendera kibao za simba na yanga zikipepea mitaa mbalimbali ya jiji hili.Ukipita madukani ndo balaa,kadi,jezi za simba na yanga ndo habari ya mujini.
Nilimejiuliza maswali mengi ambayo sikupata majibu,kwa nini hawapeperushi Bendera za MBEYA CITY ambayo msimu ujao itashiriki liki kuu Tanzania? kwa nini hawauzi jezi za timu ya Prison iliyoshiriki ligi kuu msimu huu uliomalizika?
Hatuwezi kupiga hatua kama kila siku,mawazo na akili zetu zitaendelea kutawaliwa na timu za SIMBA vs YANGA tu.Nikweli timu hizi lazima ziwe na mashabiki wengi nchini kutokana na mafanikio na historia ya soka nchini lakini,ninachokiona ni hapa kuna uwezekanao mkubwa wa ASTON VILLA ya uingereza kupata mashabiki wengi TANZANIA kuliko MBEYA CITY kuwa na mashabiki wao ambao hawako upande wa simba wala yanga.
Kwanamna ninavyoona MBEYA CITY watapata mashabiki wengi wa mkopo toka yanga siku watakapocheza na simba na kinyume chake.Nadhani hii tabia inatakiwa pia ife ili mambo mengine yaendelee.simba na yanga zenyewe presha tupu hamna chochote cha maana.
ngoja nichukue zangu jaketi,maana baridi la huku ni balaa ingawa nawaona jamaa hapa nje wamevaa kata mikono.
0 comments:
Post a Comment