Searching...
Image and video hosting by TinyPic
8 June 2013
Saturday, June 08, 2013

KASSEJA KUTEMWA SIMBA FC

JUMA KASSEJA ANAWEZA KUPIGWA CHINI

habari za ndani kutoka Simba zinasema kuwa kipa Juma Kaseja yupo shakani kuachwa kutokana na Simba kuwa na makipa watatu; Abel Dhaira wa Uganda, Andrew Ntala aliyekuwa Kagera Sugar na Abuu Hashimu  anayechezea kikosi cha vijana chini ya miaka 20.
Habari hizo zinasema kuwa Kaseja anaweza kuachwa kwani anataka kitita kikubwa cha dola 40,000 (Sh 60 milioni).
                                                                       

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!