AS MONACO NDO HABARI YA MUJINI
Hii ni club ya soka nchini ufaransa ambayo imepanda kucheza ligi kuu nchini ufaransa msimu ujao
tayari wameshamnunua RADAMEL FALCAO,MOURTINHO NA RODRIGEZ lakini bado hawajatosheka.
Nadhani msimu ujao mimi ntakuwa shabiki wa Monaco na QPR yangu.Leo tena As Monaco wamemtaja Luis Nani na Di Maria miongoni mwa wachezaji wanao wataka.
0 comments:
Post a Comment