DAVID BECKHAMARUDI TENA MAN U
CLUB YA MANCHESTER UNITED INAJIANDAA KUMTANGAZI MCHEZAJI WAKE WA ZAMANI DAVID BECKHAM KUWA BALOZI WA TIMU HIYO.
USAJILI.
arsenal wameandaa euro 15millions kwa ajili ya kumsajili winga wa man u na Ureno Luiz Nani pia wamemtengea beki wa Liverpool Martin Skrtel Euro 12 millions.
TOTTENHAM HOT SPURS
wameanda kitita cha euro 30 millions kwa ajili ya kumsajili Leandro Damiano na kiungo na mshambuliaji wa Barcelona na Hispania David Villa.
29 May 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment