-
- Ligi imebadilika sana toka Mourinho aondoke.big 4 sio aliyoacha sasa hivi kuna big 6...na kuna team kama City,Spurs,Everton ambzo zinafanya Vizuri.hali hii itafanya maisha ya Mourinho yawe magumu kidogo.Pia aina ya players ambao wapo Chelsea wengi sio type ya Mourinho,labda aje na.wa kwake.
Moyes anaweza kufaulu,ana uzoefu na ligi kwa mda mrefu.Ikiwa aliweza kutumia pesa kidogo na team ndogo vile na hajashuka nafas ya 6 unategemea atafanyje akipewa zaid ya 126£ kufanya usajili?Huenda akafanya vizur kulilo watu wanavogemea.
29 May 2013
Related Posts
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment