Searching...
Image and video hosting by TinyPic
21 December 2013
Saturday, December 21, 2013

NIONAVYO MIMI:KUELEKEA MTANI JEMBE SAA 10 JIONI.

Na Oscar Oscar Jr
Kwa mara ya tatu mfululizo,Simba wanaingia kwenye mechi ya leo kama "underdogs" dhidi ya Yanga.Hawepewi nafasi na fans nje ya uwanja but wao huwa, wanajipa nafasi wenyewe ndani ya dk 90.

Ukuta "Berlin" wa Masoud na baba Ubaya,huku Pengine Owino akicheza na ndugu yake Musoti itahitaji nguvu ya ziada kuuvunja.Natamani kumuona Berko golini badala ya
Mapunda.Hii ndo simba,Taifa kubwa!

Anko Mrisho,Ninyonzima na Kavumbagu,ni attacking line up ambayo inaweza kufanya kazi ya "fasihi",kuelimisha na kuburudisha.Natamani kuona Okwi akianzia benchi na Dida akianza golini.

Yanga wanahitaji Chuji kuanza kwenye midfield na Dilunga,ili kuwapa ulinzi Beki wao wa kati.Wanahitaji more defensive minded midfileders mbele ya mabeki wao kuliko attacking.

Okwi akiingia kipindi cha pili wakati Masoud na Baba ubaya wamepungua nguvu,ile kauli ya "mbele daima nyuma mwiko" ndipo itakapo timia.

Tambwe akitumia ubovu wa beki ya kati ya Yanga,atawaliza na Anko mrisho dribling na kasi vikikubali leo,simba chali!

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!