NIONAVYO MIMI WACHEZAJI WAONGO NA MASHABIKI WAONGO PIA.
Luke Modric ni Raia wa croatia na kwa sasa anakipiga na Real Madrid baada ya kutoka Tottenham ya London.Akiwa na Spurs alikuwa anabusu logo ya spurs kila weekend lakini Madrid walipomtaka,aligomea mpaka mazoezi ya spurs ili auzwe.Alikuwa anabusu kisanii logo ya Spurs!!
Van Persie
wakati yuko arsenal mashabiki wa united walikuwa wanamwita "Van Plastic" lakini baada ya kuhamia kwao,wanamuona kama Mungu wao uwanjani.kwa sasa wanamwita "Van Magoli" na wengine wanamwita"Hakunaga" huu ni Uongo wa mashabiki.
Jose Mourinho
huyu jamaa ni fundi sana wa soka,kuna kipindi alihusishwa na kwenda united na mashabiki kisiri siri walikuwa wanamtamani atue Old Trafford ila baada ya bodi kumuona hafai,na wao wamegeuka na kuanza kusema kwamaba "amefulia" hahahaaa...hatareeeeeee
mimi nampenda Mourinho ila siachi kusema kwamba Madrid kachemka.

0 comments:
Post a Comment