NYOSSO ATUA TANGA
Juma said Nyoso akitia saini kuitumikia coastal union kwa mkataba wa mwaka mmoja huku makamu mwenyekiti wetu steven Mnguto akimkaribisha, hapa ni punde tu baada ya kutoka kuvunja mkataba wake na Simba............karibu sana Nyoso ucheze mpira ili ufikie malengo uliyojiwekea na pia kuifikisha club yetu malengo tuliyojiwekea, wewe ni aina ya mchezaji ambae kila timu hapa nchini mwetu ingependa kuwa nawe........!!!!!!!!
0 comments:
Post a Comment