Searching...
Image and video hosting by TinyPic
27 May 2013
Monday, May 27, 2013

ujio wa Mourinyo chelsea

MOURINHO CHELSEA
 by Felchism Mramba
Katika habar zinazouza magazeti kwa sasa ni hii ya mourinho kuja chelsea mimi nikiwa kama shabiki wa chelsea sipendi huyu mtu aje kwa sasa kwani wachezaj waliopo pale hawaendani na Mourinho.
Mourinho hapendi mchezaji aonyeshe uwezo wake binafsi bali anapenda mchezaji acheze mpira wa pasi ndefu tu hivyo,kwa watu kama oscar na hazard itawaharibu sana hii system pili,Mourinho hapendi mchezaji avume kuliko yeye hapa itakuaje kuhusu HAZARD na wengine ambao wamegeuka vipenzi wa mashcik wa chelsea?
Sitashangaa kama Mourinho akija ukamwona kipa wetu kipenzi ana kaa nje kusubiri kwani pia kipa huyu ana heshima kwa mashabiki sana kitu ambacho mourinho hapendi mpaka sasa sijui kwa nini Benitez hapewi heshima anayostahil kwani kaibadilisha chelsea kuwa timu laini kama nyanya ya Dimateo na kuifanya kua timu ngumu kama nazi kwa sasa .
 Benitez alifanya maamuzi magumu kama kumuamini AZPILICUETA na kumweka pale kulia na INVANOVIC kurudi kati na LUIZ kusogea pale kati pia kila nikifikiria kwa hali ilivyo pale chelsea kwa sasa,namuweka BENITEZ juu ya mourinho kwa leo naishia hapa ila ninamengi sana juu ya huyu mourinho ambayo nitayatoa nipatapo nafasi asanteni sana na karibu tujenge blog yetu ya www.sokastadium.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!