Searching...
Image and video hosting by TinyPic
31 May 2013
Friday, May 31, 2013

TETESI NA USAJILI CHELSEA

Mourinho ambaye tayari amesaini mkataba wa kuinoa chelsea,anataka kumnunua Beki wa kati Eliaqium Mangala kutoka Porto ya Ureno.Mangala kazaliwa 1991 huko Ufaransa na baadae alihamia Ubeligiji.Alipoanza kuonyesha makali yake,Standard Liege ya ufaransa,ilimnunua na baadae kumuuza Ureno kwanye Club ya Porto.
                                                
                                                             ANDRE SHURRLE

David Luiz ametajwa tena Leo kuwaniwa na Real Madrid na Napoli,huku Barcelona wakimtaka Ivanovic kutoka chelsea.Mpaka sasa Chelsea ina Terry,Ivanovic,Luiz na Cahill ambao wote wanamudu kucheza beki ya kati.Nadhani kunamtu atauzwa hapa ili Eliaquim apate nafasi.Andre Schurrle sina hakika kama kanunuliwa na Mourinho au The Big Boss Abromovic.
                                                          
                                                        DAVID LUIZ
Najiuliza kama atapangwa winga ya kulia na Lampard akaanza,inamaana Ramires na Oscar watakuwa bench??Daniel De Rossi kiungo toka As Roma 1983 naye anatajwa kuja Chelsea na Wakati Obi alinunuliwa na Mourinho mwenyewe,je ataendelea kula bench?
Essien anarudi na Mourinho alikuwa anampanga kiwa Madrid je,Azpilicueta atampisha mtu mzima michael Essien beki ya kulia?? Nina maswali mengi kuliko Majibu.
                                                                 
                                                      ELIAQUIM MANGALA

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!