Searching...
Image and video hosting by TinyPic
18 June 2013
Tuesday, June 18, 2013

NIONAVYO MIMI HIZI NDO TETESI NZURI KWA LIVERPOOL


                                                          

BR anamtaka winga toka Hungary ambaye anakipiga na Dynamo moscow akitokea club ya Anzi Makhachakala.ana mika 26 kacheza mechi 27 msimu huu na kuweza kufunga goli 5 na pasi za mwisho kapiga 10. Anaitwa BALAZS DZSUDZSAK

2.BR ameendelea kumtolea macho winga wa Ghana na Porto ya Ureno Christian Atsu.Wingi huyu ni fundi sana na kama Brendan Rodgers atampata,atamsaidia anamiaka 21.

3.BR anamtaka pia kiungo mshambuliaji wa Shakta Donesk na Taifa la Amenia mwenye miaka 24 kuwa sehemu ya kikosi chake.anaitwa Henrikh Mkhitaryan msimu huu kafunga goli 25.

4.BR amewataka Real Madrid ambao wanamtaka Suarez wampatie dogo Alvaro Morata mwenye miaka 20 kama sehemu ya uhamisho wa Suarez.Dogo morata yupo na kikosi cha Hispania kwa sasa kwenye U21 na ndiye mfungaji bora mpaka sasa
akiwa na magoli 4.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!