NIONAVYO MIMI HIKI KITU KINAPUNGUZA SANA SIFA ZA HUYU FUNDI.
Alitakiwa atengenezewe sanamu huku akiwa amepanda juu ya mpira na kugeuka alikotoka,nadhani alitambulisha vizuri style hiyo.Alipokutana na Brazil kwenye robo fainal alimvalisha sana kanzu RONALDO DELIMA na kupiga mpira mzuri.
kila nikifikilia hii kitu,naona jamaa alibugi sana.sio kitendo cha kimichezo.
0 comments:
Post a Comment