Searching...
Image and video hosting by TinyPic
15 November 2013
Friday, November 15, 2013

RAMSEY ANAWAFANYA WATU KUWA VIPOFU.

NIONAVYO MIMI KUMLINGANISHA RAMSEY NA KINA LAMPARD, GERRARD NI DHAMBI KUBWA!

Na Oscar Oscar Jr
Ni kweli Ramsey yuko form,ni kweli anafunga magoli,ni kweli anaisaidia timu yake,ni kweli Lampard umri unakwenda na ni kweli Gerrard umri unakwenda lakini RAMBO bado hana uwezo wa kukaa V.I.P na hao watu!

Ramsey bado anasafari ya kutembea kwa magoti toka Chanika hadi Boko ili kufikia hao ma-big brothers wa England.

Ramsey hivi karibuni tu alikuwa akiinuliwa na Wenger kuingia kama sub,watu walikuwa wanamtukana wenger na kujaa jazba ya kwa nini anamuingiza!! Ni kweli yuko fomu but anasafari ndefu!

Pamoja na kuwa yuko kwenye ubora wake,ukipewa nafasi leo utengeneza "first eleven" ya EPL,sina hakika kama atapata namba!

Ana ubora yes,but sio wa Lampard na Gerrard!


0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!