Searching...
Image and video hosting by TinyPic
11 June 2013
Tuesday, June 11, 2013

NIONAVYO MIMI HAPA NDIPO NINAPOCHANGANYIKIWA.




                                                          


Kila mara Simba FC wanapopata matokeo mabaya,watu husema ADEN RAGE ajiuzulu.Mchezaji akiuzwa mashabiki husema,"Rage tuachie timu yetu"

Kocha na benchi la ufundi huwa wanakula kiyoyozi tu ZIGO lote kwa RAGE.
                                 

Arsenal inapofungwa watu husema,"WENGER atuachie timu yetu" Ivan Gazidis huwa hasemwi kabisa.Arsenal ikiuza mchezaji,lawama zote huwa kwa wenger.

Hapa ndipo ninapochanganyikiwa,kwa sababu hizohizo zinazofanana,SIMBA wanataka Mwenyekiti aondoke,huku ARSENAL wakitaka kocha aondoke

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!