Searching...
Image and video hosting by TinyPic
11 June 2013
Tuesday, June 11, 2013

NIONAVYO MIMI GARETH BALE MADRID SIO SAHIHI KWAKE.



                                                        


Simuelewi Perez anapotaka kutoa £80 million kwa Bale,ni kweli yuko kwenye form ila hana thamani ya kitita hicho cha pesa.

Bale anacheza winga ya kushoto,Beki ya kushoto na wakati mwingine hucheza nyuma ya striker.Kushoto yupo CR7,nyuma ya striker yupo Ozil,kulia yupo Di Maria.sasa najiuliza atacheza wapi??

Madrid wanahitaji Beki wa kulia,kiungo mkabaji ili amsaidie Alonso na "natural" striker ili akamsaidie Benzema kama Higuain ataondoka.

Ukimtumia Gareth Bale kama striker unamnyima uhuru wa kukimbia na kukatisha uwanja,matokeo yake atapata muda mwingi sana wa kutembea wakati anapenda shuruba.

Kwangu mimi Gareth Bale nasema HAPANA kwa madrid labda kama Di Maria au CR7 mmoja atauzwa.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!