NIONAVYO MIMI FLORENTINO PEREZ NI KAMA MBONGO TU.
Cristiano Ronaldo alishaweka wazi kwamba,kama Real Madrid wanataka aendelee kubaki santiago Bernabeu issue ni rahisi tu,wamfanye awe mchezaji anayelipwa zaidi Duniani.
PEREZ analeta siasa zake za kibongo,anaita waandishi wa habari na kumpamba sana RONALDO wakati wallet yake hachomoi noti.Anaongea sana kuliko vitendo,mara ooh,RONALDO atastaafu hapa!!,mara ooh haendi popote!!
huyu kijana anamatumizi mengi we unadhani huyu aliyenaye hapa atampa siasa au noti??
0 comments:
Post a Comment