Searching...
Image and video hosting by TinyPic
11 June 2013
Tuesday, June 11, 2013

NIONAVYO MIMI KATIKA UDAKU WA SOKA.



                                                 


David Backham ni shabiki wa man united na baba mwenye familia ya watoto wanne.Brooklyn,Romeo,Cruz na wa mwisho ni Harper seven.Watoto wake Brooklyn na Cruz ni mashabiki wa man united kama baba yao.

mtoto wake ROMEO ni shabiki wa kutupwa wa ARSENAL the GUNNERS.Backham huwa analazimika kumpeleka uwanja wa Emirates mara kibao tu ili ROMEO akaishuhudie timu yake hiyo ya London.Huwa analazimika kumpeleka ROMEO kwenye maduka ya arsenal na kumnunulia vitu vya arsenal anavyotaka.

Huwa najiuliza kama mtoto wako ni SIMBA na wewe ni YANGA kibongo bongo,unaweza mpeleka jukwaa la simba ili afurahi na wanamsimbazi wenzie?

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!