Searching...
Image and video hosting by TinyPic
12 June 2013
Wednesday, June 12, 2013

KENYA WAENDELEA KUBURUZA MKIA



by GEORGE OTIENO

Mechi yakufuzu kwenda Brazil imetamatika nchini Malawi.

Malawi 2-2 Kenya,Malawi ilikuwa yakwanza kupata bao kupitia mchezaji Robin Ngalande,Kenya ilisawazisha kupitia Jamal Mohamed,hadi wakati wamapumziko timu zote ziliwa sare ya bao moja.

Kipindi cha pili kilipowadia Malawi ilifunga bao la pili kupitia Robert Baggio Ng'amba,iliposalia dakika nane mechi ikamilike Malawi walijifunga kupitia mchezaji wao Moses Chavuta.

Kenya inazidi kuvuta mkia na alama tatu,lakini Malawi wanamatumaini yakufuzu kwenye dimba la Bara Afrika.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!