Searching...
Image and video hosting by TinyPic
6 June 2013
Thursday, June 06, 2013

GHANA WANAWEZA KUKWAA KISIKI.




Kocha wa Sudan Muhammad Abdullah Mazda ameahidi kuivurugia Ghana katika mbio za kufuzu 2014 kombe la Dunia ijumaa usiku.Pande hizo mbili zitakwaana Al Merrikh Stadium kwenye mechi ya marudiano ya kundi D  ambapo mechi ya kwanza Sudani walifungwa 4-0 miezi mitatu iliyopita
.
The Black Stars wanahitaji ushindi katika mechi hiyo ili kufufua matumaini ya kufuzu kwa fainal hizo ambazo zitafanyika mwakani kule BRAZIL.Kundi lao linaongozwa na Zambia huku Ghana wakishika nafasi ya pili. Kwesi Appiah ndiye kocha mkuu wa GHANA na amejianda vya kutosha kwa ajili ya mchezo huo.
                                                            

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!