OFFICIAL: TEVEZ AKABIDHIWA JEZI YA DEL PIERRO JUVENTUS BAADA YA KUSAINI MKATABA WA MIAKA 3
Mshambuliaji
wa kiargentina Carlos Tevez amekamilisha uhamisho wa kujiunga na
Juventus kwa ada ya uhamisho ya paunfi millioni 10. Tevez aliwasili leo
jijini Turin na moja kwa moja akaenda kufanyiwa vipimo kisha kusaini
mkataba wa miaka 3 wa kuitumikia Juventus.
Tevez
ambaye ni mchezaji wa zamani wa West Ham, Man United na Man City
amepewa jezi 10 aliyokuwa akivaa gwiji wa Juventus Alesandro Del Pierro.
0 comments:
Post a Comment