KLABU ya Chelsea imesaini dili kubwa
zaidi kihistoria la udhamini wa jezi katika Ligi Kuu ya England, baada
ya kukubali Mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya Pauni Milioni 300 na
adidas.
Data zilitolewa jana juu ya dili hilo a nguvu walilolipata Chelsea kutoka kampuni hiyo nguli ya vifaa vya michezo ya Ujerumani.
Nyeupe ang'avu: Jezi mpya za Chelsea ugenini
Mata
Nyota wa Chelsea katika jezi zao mpya za ugenini
Pamoja na hayo, manufaa zaidi
yatategemea na jinsi Chelsea itakavyoshinda mataji makubwa, Mkataba huo
ni mnono zaidi kuliko ambao mabingwa wa England, Manchester United
wameingia na Nike.
Kurejea kwa Jose Mourinho Stamford
Bridge, pamoja na Mkataba huu mnono mpya wa udhamini wa jezi baina ya
Chelsea na adidas unatarajiwa kuisaidia timu hiyo kuimarika upya.
Angalia mikataba mingine hapo chini.
0 comments:
Post a Comment