Searching...
Image and video hosting by TinyPic
26 March 2014
Wednesday, March 26, 2014

KUTOKA FACEBOOK NA MKUBWA KAMBI

Sahau kuhusu Dunga, huuyu anaitwa Rai Souza Vieira De Olivera ama waweza kumuita Rai-Selecao,mpaka Brazil inapanda ndege kwenda kule Marekani kwenye fainali za World Cup huyu ndiye alikuwa Captain wa Team, kwa bahati mbaya kwenye fainali zile hakuwa kwenye kiwango kizuri hivyo kulazimika kuanza katika mechi chache tu hali iliyopelekea Dunga kuunyakua ule u-Captain.

Hili kwa kiasi fulani lilimuathiri Carlos Alberto Parreira kwani alliamini ni Rai pekee ndiy aliyekuwa akiheshimiwa ndani ya uwanja na wachezo wote akiwemo yule mkorofi Romario De Souza.


Rai alikuwa ni attacking midfield asiye na speed (slow fiber muscles) kuna wakati aliulizwa kwa nini huchezi kwa speed? alijibu hivi, " mimi sipaswi kukimbia kwa speed, mpira ndio unapaswa uende speed mimi nakaa kwenye njia pale wakati ambao nakuwa sina mpira na kuutuma ueleekee mahali sahihi wakati ninao".


Wengine waliobahatika kuingia kwenye kikosi baada ya wale waliotumainiwa kucheza chini ya kiwango ni Cafu ambaye alichukua nafasi ya Jorginho na Leonardo aliyechukua nafasi ya Branco (mtaalamu wa free kick)


Kosi lenyewe ni hili:- Taffarel, Jorginho, Aldair, Marcio Santos and Leonardo; Mauro Silva, Dunga (C), Mazinho and Zinho; Bebeto and Romário.
Akiba: Zetti (G), Gilmar (G), Cafu, Ricardo Rocha, Ronaldão, Branco, Raí, Paulo Sérgio, Muller, Ronaldo and Viola.
Coach: Carlos Alberto Parreira.
Msaidizi: Mário Jorge Zagallo
Like · ·

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!