Searching...
Image and video hosting by TinyPic
28 March 2014
Friday, March 28, 2014

KIKOSI CHA WACHEZAJI 11 WENYE KASI ZAIDI DUNIANI.
Ni ukweli usiopingika kuwa kasi imekuwa sehemu ya mafanikio katika zama hizi kwenye mchezo wa soka na hili linadhihirishwa pia,kwa wachezaji 3 waliokuwa wanawania Ballon D'or Christiano Ronaldo,Frank Ribery na Lionel Messi.Wote hawa wanauwezo mkubwa sana wa kukimbia pindi wanapokuwa uwanjani.


Kwa mujibu wa goal.com wameendelea kusema kuwa,hata ukiangalia  FIFPro starting XI, kuna wachezaji wengi sana ambao wanakasi ya ajabu wawapo uwanjani.Na hapa wameorodhesha wachezaji wenye kasi zaidi duniani na kutengeneza kikosi ambacho kitatumia mfumo wa 4-3-1-2.


1. GK - Joe Hart (Manchester City)2. RB - Ignazio Abate (AC Milan)
3. CB - Marvell Wynne (Colorado Rapids)
4. CB - Thiago Silva (Paris St Germain)

5. LB - Gael Clichy (Manchester City)
6. LM - Gareth Bale (Real Madrid)7. CM - Ramires (Chelsea)

8. RM - Theo Walcott (Arsenal)9. AMC - Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
10. ST - Pierre Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund)

11. ST - Gabriel Agbonlahor (Aston Villa)


0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!