huyu ni Rais wa Club ya Barcelona ambaye kazaliwa 1964 huko Catalunia Hispania.Ana shahada ya uzamili kwenye masuala ya biashara (MBA)
Alikuwa rafiki mkubwa wa Joan Laporta Rais wa Barca aliyepita na alikuwa makamu wake Hadi mwaka 2005 alipojiuzulu baada ya kuona Laporta anaiendesha Barca ndivyo sivyo.
Sandro tangu ajiuzulu,alimsapoti Laporta kwenye uteuzi wa Pep Gaudiola na kusain Mkataba na Unicef tu.Mwenzie Joan Laporta ni mwanasheria ambaye kasoma Barcelona university.
Hapa ukiangalia vizuri utagundua ukatalunia ndo umetawala.Laporta amewahi kuwa Mbunge wa kitongoji cha catalunia na nadhani Rossell alisapoti uteuzi wa Pep Gaudiola kwa sababu ya kuendeleza "ucataluniazation"
Ameanza kazi 2010 na kawanunua Fabregas,Alex Song,Mascherano,Alba,Afellay,S
Nimeskia kwa sasa anamtaka Juan Mata ambaye akiwa na chelsea kacheza mara 118 na kufunga goal 32 na kutoa passi za mwisho 59.hahahaaaaa....
0 comments:
Post a Comment