Searching...
Image and video hosting by TinyPic
22 June 2013
Saturday, June 22, 2013

CHELSEA WAPATA MKATABA MPYA MNONO WA JEZ



KLABU ya Chelsea imesaini dili kubwa zaidi kihistoria la udhamini wa jezi katika Ligi Kuu ya England, baada ya kukubali Mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya Pauni Milioni 300 na adidas.
Data zilitolewa jana juu ya dili hilo a nguvu walilolipata Chelsea kutoka kampuni hiyo  nguli ya vifaa vya michezo ya Ujerumani.
Bright white: Chelsea's new away kit is partly in homage to the white kits of the 1960s
Nyeupe ang'avu: Jezi mpya za Chelsea ugenini
Mata
Mata
Full view
Nyota wa Chelsea katika jezi zao mpya za ugenini
 
Pamoja na hayo, manufaa zaidi yatategemea na jinsi Chelsea itakavyoshinda mataji makubwa, Mkataba huo ni mnono zaidi kuliko ambao mabingwa wa England, Manchester United wameingia na Nike.
 
Kurejea kwa Jose Mourinho Stamford Bridge, pamoja na Mkataba huu mnono mpya wa udhamini wa jezi baina ya Chelsea na adidas unatarajiwa kuisaidia timu hiyo kuimarika upya.
Angalia mikataba mingine hapo chini.
shirt graphic

Chelsea kit
Sock
Splash of colour: Chelsea stars were covered in paint for the release of their home kit

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!