NIONAVYO MIMI KATIKA UDAKU WA SOKA.
David Backham ni shabiki wa man united na baba mwenye familia ya watoto
wanne.Brooklyn,Romeo,Cruz na wa mwisho ni Harper seven.Watoto wake
Brooklyn na Cruz ni mashabiki wa man united kama baba yao.
mtoto
wake ROMEO ni shabiki wa kutupwa wa ARSENAL the GUNNERS.Backham huwa
analazimika kumpeleka uwanja wa Emirates mara kibao tu ili ROMEO
akaishuhudie timu yake hiyo ya London.Huwa analazimika kumpeleka ROMEO
kwenye maduka ya arsenal na kumnunulia vitu vya arsenal anavyotaka.
Huwa najiuliza kama mtoto wako ni SIMBA na wewe ni YANGA kibongo
bongo,unaweza mpeleka jukwaa la simba ili afurahi na wanamsimbazi
wenzie?
No comments:
Post a Comment