NIONAVYO MIMI FLORENTINO PEREZ NI KAMA MBONGO TU.
Cristiano Ronaldo alishaweka wazi kwamba,kama Real Madrid wanataka
aendelee kubaki santiago Bernabeu issue ni rahisi tu,wamfanye awe
mchezaji anayelipwa zaidi Duniani.
PEREZ analeta siasa zake za
kibongo,anaita waandishi wa habari na kumpamba sana RONALDO wakati
wallet yake hachomoi noti.Anaongea sana kuliko vitendo,mara ooh,RONALDO
atastaafu hapa!!,mara ooh haendi popote!!
huyu kijana anamatumizi mengi we unadhani huyu aliyenaye hapa atampa siasa au noti??
No comments:
Post a Comment