SOKA STADIUM
Kwa habari na uchambuzi wa SOKA
(Move to ...)
▼
5 February 2017
GABRIEL JESUS NA MKHITARYAN WAPELEKA FURAHA JIJI LA MANCHESTER
›
Na FLORENCE GR Klabu za jiji la Manchester zimefanikiwa kuibuka na ushindi katika michezo yao iliyocheza hii leo katika ligi kuu ya nc...
4 February 2017
MOURINHO AIPIGA DONGO BAYERN MUNICH
›
Na FLORENCE GR Kwa kile kinachoonekana kama kuipiga dongo ligi ya ujerumani kocha wa Manchester Uinted Jose Mourinho amsema kuwa ligi k...
'SIMU YA GUARDIOLA ILINIFANYA NIJIUNGE NA CITY'- GABRIEL JESUS
›
Na FLORENCE GR Mchezaji wa manchester city Gabriel Jesus amefunguka na kusema kuwa simu aliyopigiwa na Pep Guardiola ndio iliyomshawis...
DRAXLER AMUITA MESUT OZIL LIGUE 1
›
Na FLORENCE GR Mshambuliaji wa kimataifa wa Ujerumani anaecheza katika klabu ya PSG Julian Draxler ameweka wazi matamanio yake ya kuta...
3 February 2017
MANCHESTER UNITED YAMREJESHA KIPA WAKE
›
Na FLORENCE GR Manchester united imemuita goli kipa wake mwenye umri wa miaka 19 Dean Henderson kutoka klabu ya Grimsby Town amba...
FAINALI YA UEFA 2019 KUCHEZWA BAKU AU MADRID
›
Na FLORENCE GR Shirikisho la soka barani ulaya UEFA limetangaza viwanja viwili ambayo vitaingia katika mpambano na kupatikana kiwanja ...
WENGER AMTOLEA MACHO THIERRY HENRY 'MPYA'
›
Na FLORENCE GR Kwa kile kinachoonekana kama kutaka kumsajili katika kikosi chake kocha wa Arsenal amekiambia kituo cha television cha ...
AGUERO BADO ANAFURAHA MAN CITY- HERNAN REGUERA
›
Na FLORENCE GR Wakala wa mshambuliaji wa Manchster City Sergio Aguero amepuuzilia mbali taarifa zilizosambaa kuhusiana na mteja wake ku...
PIRES:TUKIFUNGWA TENA UBINGWA BASI
›
Na FLORENCE GR Mchezaji wa zamani wa Ufaransa na Arsenal Robert Pires anaamini kuwa mbio za ubingwa wa ligi kuu Uingereza kwa upande ...
2 February 2017
TUANZEBE ASAINI MANCHESTER UNITED
›
Na FLORENCE GR Mchezaji chipukizi wa Manchester united Aet Tuanzebe amefanikiwa kuongeza mkataba wa miaka mitatu na nusu kuendelea ku...
SOUTHAMPTON YAPATA PIGO
›
Na FLORENCE GR Klabu ya soka ya southampton imedhibitisha kuwa beki wake raia wa uholanzi Virgil van Dijk atakuwa nje ya uwanja kwa mi...
SUPER FRANK LAMPARD ASTAAFU SOKA
›
Na FLORENCE GR Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Uingereza na Chelsea Frank Lampard ametangaza kustaafu kucheza soka rasmi na kugeu...
NANI KUCHEZA FAINALI NA MISRI?
›
Na FLORENCE GR Mchezo wa nusu fainali ya pili unatarajiwa kupigwa leo nchini Gabon ambapo mashindoni ya AFCON yanaendelea kupamba ...
BANCE AVUNJA REKODI MBILI KWA WAKATI MMOJA
›
Na FLORENCE GR Michuano ya kombe la mataifa ya AFCON imeendelea kushika kasi nchini Gaboni ambapo usiku wa jana kulipigwa nusu fain...
1 February 2017
HAZARD: NI MAN UNITED NA ARSENAL NDO WAPINZANI WETU TU
›
Na FLORENCE GR Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubeligiji na timu ya chelsea Eden Hazard amesema kuwa anaamini timu za manchester unite...
FIRMINO ALIMWA FAINI-ENGLAND
›
Na FLORENCE GR Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil anaekipiga katika timu ya Liverpool Roberto Firmino amepigwa faini ya euro 20,000...
HENRY AMPIGIA DEBE GRIEZMAN EPL
›
Na FLORENCE GR Kwa kile kinachoonekana kama kumpigia debe mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Thiery Henry amsema kuwa angependa kumuo...
MOURINHO AMUONYA MARTIAL
›
Na FLORENCE GR Kocha wa klabu ya Manchester united Jose Mourinho amemuonya Anthony Martial na kumtaka kupandisha kiwango kwani mchez...
CHELSEA vs LIVERPOOL HAKUNA MBABE, ARSENAL APIGWA NYUMBANI
›
Na FLORENCE GR Klabu ya soka ya chelsea imefanikiwa kuondoka na pointi katika uwanja wa Anfield baada hapo jana usiku kutoka sare ya...
31 January 2017
DEMBA BA AREJEA UTURUKI TENA
›
Na FLORENCE GR Mshambuliaji wa zamani wa Newcastle united na chelsea Demba ba amreejea kunako timu ya Besiktas ambayo aliondoka mwa...
TRANSFER ZILIZOTEKA VYOMBO VYA HABARI ULAYA
›
Na FLORENCE GR Dirisha la usajili linatarajiwa kufungwa jumanne majira ya saa 00:00 huku timu mbalimbali brani ulaya likiwa kat...
UCHAMBUZI: LIVERPOOL VS CHELSEA
›
Na FLORENCE GR Mwezi january haukuwa mwezi mzuri kabisa kwa klabu ya soka ya liverpool na Jurgen Klopp mwenyewe, tangu walipofan...
ADEBAYOR AIBUKIA LIGI KUU NCHINI UTURUKI
›
Na FLORENCE GR Hatimaye mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Arsenal, Manchester city, Tottenham na Crystal palace Emmauel Adebay...
BIABIANY AIPIGA CHINI CHELSEA
›
Na FLORENCE GR Kwa mujibu wa sky sport nchini italia inaripotiwa kuwa winga wa klabu ya soka ya Inter Milan Jonathan Biabiany am...
›
Home
View web version