NIONAVYO MIMI CHELSEA WANAHITAJI MMOJA TU.
Watoto wa London Chelsea ukiwaangalia kiubora,unaweza kushangaa kuona na wao wanataka kusajili lundo la wachezaji.Nadhani wangesajili Striker mmoja tu wa maana full stop.
Kwa sasa wanaviungo bora kabisa England,Mata the best,Fundi Oscar na Doctor Hazard wako on fire.Ukishuka chini kuna Mikel,Ramires na kaka Mkubwa Frank Lampard.
Ninaposkia Mourinho anamtaka mara De Rossi,mara Wesley Sneidjer huwa sielewi anamaana gani.Ni sawa na Kumuuza Luke Modric ili umnunue Metsu Ozil.
Ukiwa na pesa bwana,unaweza agiza "mirinda orange" na kuiona mbaya na kuagiza "Fanta Orange"
hili ndo tatizo la Mrusi Roman Abromovic
0 comments:
Post a Comment