25 March 2014

KUTOKA UKURASA WA FACEBOOK WA AZAM FC.

Wachezaji wa timu ya Azam FC wamewasili Salama bila matatizo yoyote jijini tanga tayali kwa mchezo wa jumatano dhidi ya Jkt mgambo.

Kikosi cha Azam FC kimewasili tanga majira ya saa tano Asubuhi kwa basi lake likitokea Dar.
Picha zaidi za wachezaji baada ya kuwasili tanga angalia hapa, ambako mashabiki walijaa na kulizunguka basi hilo baada ya kuwaona wachezaji wa Azam fc wakishuka

No comments:

Post a Comment