NYOSSO ATUA TANGA
Juma
said Nyoso akitia saini kuitumikia coastal union kwa mkataba wa mwaka
mmoja huku makamu mwenyekiti wetu steven Mnguto akimkaribisha, hapa ni
punde tu baada ya kutoka kuvunja mkataba wake na Simba............karibu
sana Nyoso ucheze mpira ili ufikie malengo uliyojiwekea na pia
kuifikisha club yetu malengo tuliyojiwekea, wewe ni aina ya mchezaji
ambae kila timu hapa nchini mwetu ingependa kuwa nawe........!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment