NIONAVYO MIMI TUNAELEWA ZAIDI KWA MATENDO.
David Moyes amekuwa akitaka kuimarisha safu ya kiungo kwa kumtaka Cesc
Fabregas ambaye ameonekana kukanusha tetesi hizo.Thiago Alcantara
amekuwa kwenye Rada zake siku za hivi karibuni.
Kama angemnunua
kabla ya mechi ya jana,watu wachache sana wangegundua kama Thiago ni
fundi.Wengi wasingeona kama ni usajili mzuri.
Baada ya jana
kuiongoza vema Timu ya Hispania na kutwaa ubingwa wa Ulaya U21 kwa
kupasia nyavu mara 3,leo shabiki wa united akisikia Thiago katua Old
Trafford,sijui kama tutalala.
No comments:
Post a Comment