Amesema anajua kama kocha ROBERTO
MANCINI alishindwa kwenye ligi ya mabingwa sasa,yeye amekuja
kulichukuwa taji hilo.Amewaomba mashabiki wa ETIHAD kuiunga mkono timu
yao kwani kombe la ligi ambalo liko kwa watani zao man united,msimu ujao
litarudi pia ETIHAD STADIUM.
Tayari ameshawasajili JESUS NAVAS
na FERNANDINHO na amesema ISCO yuko njiani kutua hapo ETIHAD.Ingawa
ISCO anaweza kuelekea real madrid.Amerudisha majeshi kwa isco baada
yakumkosa EDSON CAVVAN toka Napoli ya Italy.
No comments:
Post a Comment