NIONAVYO MIMI HAPA NDIPO NINAPOCHANGANYIKIWA.
Kila mara Simba FC wanapopata matokeo mabaya,watu husema ADEN RAGE
ajiuzulu.Mchezaji akiuzwa mashabiki husema,"Rage tuachie timu yetu"
Kocha na benchi la ufundi huwa wanakula kiyoyozi tu ZIGO lote kwa RAGE.
Arsenal inapofungwa watu husema,"WENGER atuachie timu yetu" Ivan
Gazidis huwa hasemwi kabisa.Arsenal ikiuza mchezaji,lawama zote huwa kwa
wenger.
Hapa ndipo ninapochanganyikiwa,kwa sababu hizohizo
zinazofanana,SIMBA wanataka Mwenyekiti aondoke,huku ARSENAL wakitaka
kocha aondoke
No comments:
Post a Comment