by GEORGE OTIENO
Mechi yakufuzu kwenda Brazil imetamatika nchini Malawi.
Malawi 2-2
Kenya,Malawi ilikuwa yakwanza kupata bao kupitia mchezaji Robin
Ngalande,Kenya ilisawazisha kupitia Jamal Mohamed,hadi wakati
wamapumziko timu zote ziliwa sare ya bao moja.
Kipindi cha pili
kilipowadia Malawi ilifunga bao la pili kupitia Robert Baggio
Ng'amba,iliposalia dakika nane mechi ikamilike Malawi walijifunga
kupitia mchezaji wao Moses Chavuta.
Kenya inazidi kuvuta mkia na alama
tatu,lakini Malawi wanamatumaini yakufuzu kwenye dimba la Bara Afrika.
No comments:
Post a Comment