7 June 2013

coastal union wanakuja juu




Kiungo mshambuliaji, Kenneth Masumbuko akisaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Coastal Union.....Masumbuko anatumia guu la kushoto, ana nguvu, ana umbo pana mithili ya Kipre Tchetche wa Azam...ni mzuri katika kukrosi mipira....na atatengeneza mabao mengi katika upande wa kushoto huku Haruna Moshi Boooban akitengeneza mabao kupitia katikati...mbele yao kuna mtu analetwa...tega sikio 
                                                                             

No comments:

Post a Comment