SOKA STADIUM
Kwa habari na uchambuzi wa SOKA
(Move to ...)
▼
23 June 2013
ASPAS ATUA RASNI LIVERPOOL
Liverpool Football Club wamethibitisha usajili wa Iago Aspas kutoka klabu ya Celta Vigo, ila anasubiri cheti cha kimataifa cha uhamisho(ITC) ambacho maelewano yameshafikiwa na kuna kila dalili kitapatikana mapema wiki hii.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment