Mourinho ambaye tayari amesaini mkataba wa kuinoa chelsea,anataka
kumnunua Beki wa kati Eliaqium Mangala kutoka Porto ya Ureno.Mangala
kazaliwa 1991 huko Ufaransa na baadae alihamia Ubeligiji.Alipoanza
kuonyesha makali yake,Standard Liege ya ufaransa,ilimnunua na baadae
kumuuza Ureno kwanye Club ya Porto.
ANDRE SHURRLE
David Luiz ametajwa tena Leo kuwaniwa na Real Madrid na Napoli,huku Barcelona wakimtaka Ivanovic kutoka chelsea.Mpaka sasa Chelsea ina Terry,Ivanovic,Luiz na Cahill ambao wote
wanamudu kucheza beki ya kati.Nadhani kunamtu atauzwa hapa ili Eliaquim
apate nafasi.Andre Schurrle sina hakika kama kanunuliwa na
Mourinho au The Big Boss Abromovic.
DAVID LUIZ
Najiuliza kama atapangwa winga ya
kulia na Lampard akaanza,inamaana Ramires na Oscar watakuwa bench??Daniel De Rossi kiungo toka As Roma 1983 naye anatajwa kuja Chelsea na
Wakati Obi alinunuliwa na Mourinho mwenyewe,je ataendelea kula bench?
31 May 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment