30 May 2013

CLUB YA CHELSEA IMENASA MJERUMANI.

Huyu ndiyo ANDRE SHURRLE  ambaye amesajiliwa na chelsea akitokea BAYERN LIVERKUSEN amezaliwa mwaka 1990 na anauwezo wakucheza kama msham,buliaji na winga,nadhani ni usajili mzuri kwa mashabiki wa DARAJANI.

No comments:

Post a Comment